Home and Land Tanzania ni kampuni mpya iliyoanzishwa hivi karibuni inayojihusisha na ununuzi, kupangisha na kuuza majengo na ardhi ndani ya Tanzania.

Tuna wigo mpana wa uchaguzi ikiwemo maduka, godown, ofisi, migahawa, mahoteli, biashara, vituo vya mafuta na pia majumba.

Home and Land Tanzania inayo majengo yenye viwango bora kwaajili ya makazi na biashara katika Tanzania. Tuna ujuzi wa kutosha katika ununuzi, uuzaji, na ukodishaji wa majengo hapa nchini.

Tupo tayari na tutafurahi kujadili nawe mahitaji yako kama ni muhitaji wa nyumba nzuri ya kuishi ama muuzaji wa jengo lako!







 " Nyumbani ni pale moyo ulipo....
      
 tafuta nyumba yako ya       mahitaji yako
            kutoka kwetu "


     MKURUGENZI
Designed & Maintained by QUEST GROUP