Home and Land Tanzania ni kampuni mpya iliyoanzishwa hivi karibuni inayojihusisha na ununuzi, kupangisha na kuuza majengo na ardhi ndani ya Tanzania.
Tuna wigo mpana wa uchaguzi ikiwemo maduka, godown, ofisi, migahawa, mahoteli, biashara, vituo vya mafuta na pia majumba. |
|